Habari za Punde

Waziri Mkuu afungua Mkutano Mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT)


 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Benki ya NMB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo, Wakati na Kilimo wa Benki ya NMB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza watumishi wa Benki ya CRDB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB (kulia), Boma Raballa, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa ALAT Taifa, Gulamhafeez Abubakar Mukadam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, Waziri Mkuu amemwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.