Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Mkuu wa UNHCR, Filippo Grand kabla ya mazungumzo yao kwenye kituo cha maonyesho cha Pacifiko Yokohama nchini Japan, Agosti30, 2019. Mheshimiwa Majaliwa yuko nchini Japan kuhudhuria mkutano wa TICAD 7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Mkuu wa UNHCR, Filippo Grand kwenye kituo cha maonyesho cha Pacifiko Yokohama nchini Japan, Agosti 30, 2019. Mheshimiwa Majaliwa yuko nchini Japan kuhudhuria mkutano wa TICAD 7.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment