Habari za Punde

RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA ATEMBELEA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA ANC MAZIMBU - MOROGORO

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini, Mhe.Cyril Matamela Ramaphosa, wakati alipowasili katika Mkoa wa Morogoro, akiwa kwenye ziara ya Kiserikali nchini.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro, kabla ya kumkaribisha Rais wa Afrika Kusini, Cyril Matamela Ramaphosa kuzungumza
Rais wa Afrika Kusini, Mhe.Cyril Matamela Ramaphosa, akizungumza na wananchi katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoroalipotembelea Kampasi hiyo.
Rais wa Afrika Kusini,Mhe.Cyril Matamela Ramaphosa, akiwa amesimama katika moja ya picha ya wapigania uhuru wa Afrika Kusini, kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro.
Rais wa Afrika Kusini, Mhe.Cyril Matamela Ramaphosa, akizungumza na mwenyeji wake Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwasili katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro.
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Matamela Ramaphosa, akiwa kwenye picha ya pamoja, kwenye ofisi ya Utawala, iliyotumika na Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro.
Rais wa Afrika Kusini,Mhe.Cyril Matamela Ramaphosa, akifafanuliwa jambo kwenye moja ya jengo la Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro.
Rais wa Afrika Kusini, Mhe.Cyril Matamela Ramaphosa, akiangalia moja ya kaburi la Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro
Rais wa Afrika Kusini,Mhe. Cyril Matamela Ramaphosa, akiangalia moja ya kaburi la Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Mazimbu Campus mjini Morogoro
Rais wa Afrika Kusini,Mhe. Cyril Matamela Ramaphosa, akipanda mti, wakati alipotembelea Kambi ya iliyotumika na Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, iliyopo Mazimbu mjini Morogoro.
Rais wa Afrika Kusini,Mhe. Cyril Matamela Ramaphosa, akiweka shada la mauwa, katika mnara wa kumbukumbu ya Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wakati lipotembelea Kambi ya iliyotumika na Wapigania Uhuru hao, iliyopo Mazimbu mjini Morogoro
Rais wa Afrika Kusini,Mhe. Cyril Matamela Ramaphosa, akiwa na mwenyeji wake, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, baada ya kutembelea Kambi ya Mazimbu, mkoani Morogoro, akiwa kwenye ziara ya Kiserikali nchini. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).. Agosti 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.