Habari za Punde

UJENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAENDELEA VYEMA


Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza kupokea meli kubwa za mizigo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema mradi wa ujenzi wa gati hyo utakaogharimu takribani shilingi Trilioni moja utaiwezesha Bandari ya Dar es Salaam kuongeza ufanisi kwa kuongeza kasi ya upakuaji na upakiaji wa mizigo na kupokea meli yoyote duniani zikiwemo meli kubwa za kisasa saba (7th Generation).

Mhandisi Kakoko amefafanua kuwa kazi inayoendelea imewezesha kukamilika kwa ujenzi katika gati na mba 1 na gati namba 2 ambazo zimeongezwa kina kutoka mita 8 hadi kufikia kati ya mita 15 na 19, kina ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na kina kinachohitajika kwamelikubwazaidiambachonimita 12.

Aidha, MhandisiKakokoamemshukuruMhe. RaisMagufulikwakutiliamkazoujenziwaBandari ya Dar es Salaam nakuamuakujengagatinyingineyamagariiitwayo RORO ambayoitaiwezesha bandari hiyokupokeamelihata2kwampigozenyeweuwezowakuchukuamagari 10,000 ikilinganishwanauwezowakuchukuamagari 200 kablayamradihuo.

“Sasamaanayakenini, magarinikatiyashehenainayoingizatozozaidi, kwamagaripekeeyaketunawezakukusanyatozomara 2 au mara3ikilinganishwanakipindi cha nyuma, ndiomaanatunamshukuruMhe. RaisMagufulikwakutuongezeahiyogatiya RORO.

Kwa hiyofaidaya kwanza tunaipatakatikakuongeza kina kwamaanamelikubwazitaingiakwamaramoja, nakunawatuwamekuwawakionakuna Kijiji cha melizinazosubirikuingia bandari kushushamizigo, hiyohaiwezikuwepotena”amesemaMhandisiKakoko.

MhandisiKakokoamesemajuhudihizozinakwendasambambanauboreshajieneo la nyaraka (clearing) kupitiaserikalimtandaoilikuondoamianyayaudanganyifuambaohusababishaupotevuwamapato.

“Sasatutawezakupatamojakwamoja Bill of Lading nahivyokuondokananabaadhiyawafanyabiashara au waagizajimizigoambaohudaimakontenayana mitumba wakatindanimnamagari”amesemaMhandisiKakokonakubainishakuwauwekajiwamfumowanyarakaunakwendasambambanauwekajiwamitamboyaukaguzi(scanner).

Amesemabaadayakukamilikakwagatinamba 1 nagatinamba 2, ujenzikwasasaunaendeleakatikagatinamba 4 ambayoinakaribiakukabidhiwa TPAnagatinamba 5 ambayouchorongajiunaendelea.

Ameongezakuwabaadayakukamilikakwaujenziwagatinamba 3 nagatinamba 4, ujenzihuoutaendeleakwagatinamba 5,6 na 7 nabaadayahapokaziitaendeleakwamagatiambayoyapochiniyaKampuniyaKimataifayaHudumazaMakontenaBandarini (TICTS) ambayotayariSerikaliyaAwamuyaTanoimeshafanyamazungumzoyakurekebishamkatabanasasamrabahaunaolipwanimara 2 ikilinganishwanazamani.

MhandisiKakokoamesemapamojanakujengagatihizo, Serikali pia inanunuamitambomikubwayakupakulianakupakiamizigonahivyokuongezakasinaufanisizaidiwa bandari.

Kufuatiajuhudihizoamesemasasa bandari ya Dar es Salaam itakuwanauwezowakutumiavizurifaidayakeyakijiografiakukabiliananaushindaniwa bandari zotezilizopokatikaukandawa bandari ya Hindi nakuwalango bora namuhimukwanchiza Afrika.

MhandisiKakokoamesemakazihiiyauboreshajiwa Bandari a Dar es Salaam iliyopaswakufanyikamiaka 30 iliyopitaimesababisha Tanzania kupotezakiasikikubwa cha mapatonakwambakutokananauboreshajihuunahatuaambazoSerikaliyaAwamuyaTanoimechukua, TPA itaendeleakuongozakatikautoajiwagawio.

Ameahidikuwamwakahuu TPA inatarajiakutoa gawio la katiyashilingiBilioni 150 nashilingiBilioni 200 nakwambamiakamichacheijayo TPA kwakushirikiananawadauwenginewa bandari watakuwanauwezowakuzalishafedhazakugharamiabajetinzimayaSerikaliambayonitakribanishilingiTrilioni 30 kwamwaka.

HalikadhalikaMhandisiKakokoamesemakaziyaujenziwa bandari pia inaendeleakatika Bandari ya Mtwara naujenzikatika Bandari yaTangautaanzamwezihuu (Agosti 2019)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.