Habari za Punde

MAadhimisho ya Kumbukumbu wa Mwandishi Daudi Mwangosi.

Balozi wa Sweden Nchini Tanzania,Mhe. Anders Sjoberg, akiwahutubia waandishi wa habari katika maadhimisho ya  kumbu kumbu ya mwandishi wa habari aliafariki Dunia Tanzania, Daudi Mwangosi, hafla iliofanyika ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
(Picha na Abdalla Omar ).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.