Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akipata maelezo kuhusu huduma za kampuni ya mawasiliano ya Zantel, kutoka kwa kutoka mwakilishi wa Kitengo cha Mauzo ya Jumla cha kampuni hiyo Yvonne Mashuda, wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kilele cha mkutano wa mawaziri wa SADC wa sekta ya TEHAMA uliofanyika jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akipata maelezo kuhusu huduma za kampuni ya mawasiliano ya Zantel, kutoka kwa kutoka mwakilishi wa Kitengo cha Mauzo ya Jumla cha kampuni hiyo Yvonne Mashuda, wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kilele cha mkutano wa mawaziri wa SADC wa sekta ya TEHAMA uliofanyika jijini Dar es salaam.(PICHA NA VICTOR JOSEPH)
No comments:
Post a Comment