Habari za Punde

Wadau wa Uchaguzi wapitia rasimu ya muongozo wa huduma za Utangazaji wakati wa uchaguzi



Wadau wa Uchaguzi wakipitia rasimu ya muongozo wa huduma za Utangazaji wakati wa uchaguzi, juu ya kuandaa na kuripoti  habari za uchaguzi mkuu, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Nyaraka Chake Chake
Pemba.

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.