Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MIAKA 25 YA CHUO KIKUU HURIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasssan, akizungumza na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mhe. Mizengo Kayanda Peter  Pinda  Wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimia Miaka 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika leo Sept 24,2019 Kinondoni Jijini Dar es salaam,  Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye maadhimisho hayo.  

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasssan, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mafunzo katika Chuo Kikuu Huria Prof. Emmanuel  Kigabe,  kuhusu Vitabu vya kumbukumbu ya Utafiti wa aina mbalimbali kwenye maonesho ya  kilele cha Maadhimisho ya kutimia Miaka 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika leo Sept 24,2019 Kinondoni Jijini Dar es salaam, Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye maadhimisho hayo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasssan, akiangalia Vitabu vya kumbukumbu ya Utafiti wa aina mbalimbali kwenye maonesho ya  kilele cha Maadhimisho ya kutimia Miaka 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika leo Sept 24,2019 Kinondoni Jijini Dar es salaam,  Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye maadhimisho hayo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasssan, akipata maelezo kutoka kwa Sebastian Sambuo Mushi,  kuhusu Utaalamu na Biashara ya Mchele  kwenye maonesho ya  kilele cha Maadhimisho ya kutimia Miaka 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika leo Sept 24,2019 Kinondoni Jijini Dar es salaam, Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye maadhimisho hayo.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasssan, akihutubia kwenye kilele cha Maadhimisho ya kutimia Miaka 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika leo Sept 24,2019 Kinondoni Jijini Dar es salaam, Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasssan, akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kinondoni baada ya kuhutubia kilele cha Maadhimisho ya kutimia Miaka 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika leo Sept 24,2019 Kinondoni Jijini Dar es salaam,  Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye maadhimisho hayo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.