Habari za Punde

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,Mhe.Salma Kikwete, wakiwa katika ukumbi wa Bungeni jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ndanda Mhe.Cecil Mwambe, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mbeya Jiji, kwenye jengo la utawala, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 11.2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.