Mkufunzi wa Mafunzo ya Uokozi kutoka Uingerza Ndg. Stuat Thomson, akitoka mafunzo hayo kwa Kikundi cha Life Boats cha Nungwi kwa Vijana hao jinsi ya kutowa huduma za uokozi kwa wakati wa kutokea kwa kuzama kwa chomba na Wananchi baharini, mafunzo hayo yamefanyika katika ukanda wa Bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.huko Kendwa.
WANAFUNZI wa kikuti cha Life Boats, wakiwa katika mazoezi ya kuwapakia watu ambao wamewaokoa katika bahari ya Kendwa Mkoa wa Kasikazini Unguja.
WANAFUNZI wa kikuti cha Life Boats, wakiwa katika mazoezi ya kuwapakia watu ambao wamewaokoa katika bahari ya Kendwa Mkoa wa Kasikazini Unguja.
MAJERUHI tayari anatolewa katika maji na kupata usaidizi wa kupelekwa sehemu yenye usalama.
MAJERUHI wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuokolewa.
MAJERUHI wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuokolewa.
MAJERUHI wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuokolewa.
Vijana wa Kikundi cha Life Boats, wakiwa katika picha ya pamoja na Mwalimu wao Ndg. Stuat Thomson, kutoka Nchini Uingereza.mafunzo hayo yametolewa katika ufukwe wa Bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazinui Unguja.(Picha na Abdalla Omar)
No comments:
Post a Comment