Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI MKUBWA WA UMEME WA KUUNGANISHA MKOA WA KATAVI KWENYE GRIDI YA TAIFA KWA NJIA YA MSONGO WA KILOVOLTI 132 KUTOKA TABORA PIA AWEKA MAWE YA MSINGI UJENZI WA BARABARA NA HOSPITALI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA MKOANI KATAVI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Viongozi wa Mkoa wa Katavi, Mawaziri pamoja na Wabunge akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani mara baada ya kuweka la msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuweka la  msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi zilizofanyikanjekidogoyamanispaayaMpanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi na wafanyakazi wa Tanesco mara baada ya kuweka la msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa Isukumilo na Mpanda Sekondari wakati akielekea Wilaya Mpya ya Tanganyika.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Isukumilo na Mpanda Girls wakimsangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama katika barabara ya kuelekea katika Wilaya mpya ya Tanganyika.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.