Habari za Punde

ZRB Yatowa Elimu ya Mlipa Kodi Kwa Wafanyabiashara Kisiwani Pemba.

AFISA Uhusiwano wa ZRB Zaznibar Makambe Khamis Mohd, akizungumza wakati wamkutano wa Waandishi wa bahari na Wafanya biashara Pemba, juu ya marekebisho ya sheria za Kodi zinazosimamiwa na ZRB kwa mwaka wa fedha 2019/2020, huko katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani Chake Chake Pemba
AFISA Elimu kwa mlipa kodi kutoka bodi ya mapato zanzibar ZRB Raya Suleiman Abdalla, akiwasilisha mada ya marekebisho ya sheria za kodi zinazosimamiwa na ZRB kwa mwaka wa fedha 2019/2020, kwa waandishi wa habari na wafanyabiashara wa chake chake, huko katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani Chake Chake Pemba
 AFISA Uhusiwano wa ZRB Zaznibar Makambe Khamis Mohd, akizungumza wakati wamkutano wa Waandishi wa bahari na Wafanya biashara Pemba, juu ya marekebisho ya sheria za Kodi zinazosimamiwa na ZRB kwa mwaka wa fedha 2019/2020, huko katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani Chake Chake Pemba
BAADHI ywa wafanya biashara wa Chake Chake na waandishi wa habari Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa mada ya marekebisho ya sheria za kodi zinazosimamiwa na ZRB kwa mwaka wa fedha 2019/2020,kutoka wa maafisa wa ZRB Zanzibar, huko katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.