Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mshauri wa Jumuiya ya Milade Nabii Sheikh.Shirali Champsi alipoiwasili katika viwanja vya Maisara Suleima Wilaya ya Mhjini Unguja kuhudhuria hafla ya sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiku.
DKT. KIKWETE: NCHI ZA AFRIKA ZINAHITAJI KUWEKEZA ZAIDI KATIKA TAFITI NA
KILIMO
-
Na.Vero Ignatus ARUSHA
Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Umasikini umefanyika Jijini Arusha kwa
lengo la Kuwaunganisha wataalamu wa utafiti na watunga ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment