Habari za Punde

Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Zanzibar (ZAA) Yakabidhiwa Mashine ya Kudhibiti Chembechembe za Miripuko na Isreal za

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar Ndg. Shomari Omar akimsikiliza Mtaalam wa Shirika la (IAS) la Isreal Ndg.Asif Segal akitowa maelezo ya matumishi ya Mashine Maalum ya kugundua chembe chembe za miripuko katika mizigo iliokabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Zanzibar, hafla hiyto imefanyika katika Hoteli ya  Park Hyatt Shangani Jijini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji Zanzibar Ndg.Shomari.Omar Shomar akimsikiliza Mtaalamu wa Shirika la El Al Security la Isreal Ndg. Hardof Jacoby akisisitiza jambo wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano ya mashini hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Park Hyatt Shangani Jijini Zanzibar, 
Mtaalam wa Shirika la (IAS)Ndg. Asif Segal akitowa maelezo ya jinsi ya mashine hiyo inavyofanya kazi kugundua vihaarishi vya chembe chembe za maripuka katika mizigo inayopika katika viwanja vya ndege kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Zanzibar.Ndg. Shomari Omar Shomari akifuatilia maelezo hayo wakati wa hafla ya kukabidhi mashine hiyo kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Shangani Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.