Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Afisa wa UNDP Ofisi ya Zanzibar.Bi.Rukia, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Ujumbe huo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania.Bi. Christne Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kuonana na Rais leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Ripoti ya Hiyari ya
Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu,(SDG’s) na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP)
Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na Rais leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa
(UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, wakitabasamu wakati wakitoka katika
ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 25-11-2019,
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment