KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa, akizungumza na wazee wa Chama cha Mapinduzi wa Mikoa miwili ya Pemba, huko katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba
BAADHI ya wazee wa Chama Cha Mapinduzi Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini hutuba ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk Bashiru, huko katika ukumbi wa Mkonyo Wawi
Mzee wa CCM akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt.Bashiru wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba akizungumza na Wazee wa Mikoa Miwili ya Pemba .
BALOZI Mstaafu Juma Othama Juma, akizungumza wakati wakikao cha Wazee wa Chama cha Mapinduzi, kilichofanyika ukumbi wa Mkonyo Chake Chake Pemba
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa (katikati mwenye kofia) akiitikia dua pamoja na wanafamilia ya marehemu Dkt. Omar Ali Juma aliyefariki dunia mwaka 2001 na kuzikwa kijijini kwake wawi Wilaya ya Chake Chake
No comments:
Post a Comment