Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Awatakia Heri ya Chrismas Watoto Raia wa Kigeni

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatakia Heri ya Christmas baadhi ya watoto Raia wa kigeni kutoka Nchi mbalimbali Duniani wanaotembelea Hifadhi za Taifa Serengeti Mkoani Mara wakati alipokutana nao                             Disemba 24,2019.                               
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.