Habari za Punde

Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania Lafanyika Katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

MWENYEKITI wa (Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL) Ndg,Norman Jasson akitowa Salamu za Wanadiaspora wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbiu wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein, kuhutubia na kulifungua
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, walililowashirikia Watanzania Wanaoishi Ughaibu
BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar(hayupo pichani) 

BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Ma;pinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed akihutubia hafkla hiyo(hayupo pichani) ufunguzi huo umefanyika leo 15-12-2019
WASHAURI wa Rais wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.Mhe Goerge Simbachaweni akizungumza na kutowa neno la shukrani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar(hayupo pichani) 

MTOWA Mada ya kwanza kutoka Kampuni ya ‘African Return Systems Trading ’Ndg.Johnas Singo akitowa maelezo ya Mada ya Urejeshaji wa Taka za Plastiki, akiwasilisha wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.