Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungmza na familia ya Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim alipokwenda
kumjulia hali, anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe.
Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka
ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa
matibabu Nchini Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Amne Salim
(mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt.
Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29,
2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa
haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa
akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Amne Salim
(mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt.
Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29,
2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka
ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa
matibabu Nchini Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mama Amne Salim
(mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt.
Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29,
2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa
haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa
akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.
No comments:
Post a Comment