Habari za Punde

Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi Miundombinu ya Kilimo Cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji Zanzibar Eneo la Kinyasini Kisongoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Maji Ndg. Haji Hamad Salum, akitowa maelezo ya michoro ya Mradi huo wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika ujenzi huo  unaojengwa na Kampuni ya Korea ya KOLON - HANSOL JV. hafla hiyo imefanyika katika eneo hilo la Kinyasini Kisongoni ikiwa ni shamrashamra za Kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Maji.Ndg. Haji Hamad Salum akitowa maelezo ya Mradi Kilimo cha Umwagiliaji Maji, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji unaojengwa katika eneo la Kinyasini Kisongoni na Kampuni kutoka Nchini Korea ya KOLON –HANSOL JV. Ikiwa ni shamrashamra za sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika eneo hilo la mradi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni akiwa na Project Manager wa Kampuni ya Kolon.Ndg. Cho Kwang Lae, hafla hiyo imefanyika kinyasini kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Kilimo cha Umwagiliaji Maji Ndg. Haji Hamad Salum, akitowa maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Umwagiliaji wa Maji unaofanyika katika Kijiji cha Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt. Makame Ali Ussi. Wakiwa katika eneo la ujenzi huo.
ENEO la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongo, wakandarasi wa Kampuni ya KOLON HANSOL JV kutoka Nchini Korea wakiendelea na ujenzi huo
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Mabodi akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Mradi huo wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
NAIBU Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Exim ya Korea Ndg.Kang Sangjin akitowa salamu za  Kores Eximbank wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji unaojengwa na Kampuni ya Kolon –Hansol Jv kutoka nchini Korea.
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika kijiji cha kinyasini kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya KOLON –HANSOL JV kutoka Nchini Korea, wakifuatilia hafla hiyo ya uwekaji wa Jiwe la msingi la mradi huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo (hayupo pichani) katika kijiji cha Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika kijiji cha kinyasini kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika kijiji cha kinyasini kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.