Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Awasili Zanzibar leo kwa Ziara.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kushoto ni Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo.Mhe.Balozi, Ali Abeid Karume. kuaza ziara yake ya Kikazi kwa siku tatu  amewasili leo Januari 17, 2020 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi, Seif Ali Iddi, baada ya kuwasili Zanzibar, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.