JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA
OFISI
YA MAKAMU WA RAIS
|
|||||||
TAARIFA
KWA UMMA

BW. MANCHARE HECHE SUGUTA
Tunapenda kuutarifu
Umma kwamba mtajwa ambaye picha yake inaonekana hapo juu alikuwa mtumishi wa
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kwasasa, Bw.
Manchare Heche Suguta amepangiwa majukumu mengine kwa utaratibu wa kawaida wa
Serikali hivyo hatahusika na shughuli zozote za Baraza wala Ofisi ya Makamu wa
Rais.

Imetolewa na
Mhandisi
Joseph K. Malongo
Katibu
Mkuu
11/02/2020
No comments:
Post a Comment