Habari za Punde

Harambee ya Jengo la Ofisi na Ukumbi wa Kitega Uchumi CCM Mkoa wa Pwani.

 
Mhandisi wa ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani  Suleiman Nassor  akimuelezea  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuhusu  Jengo hilo litakavyokuwa  wakati  Makamu wa Rais alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo leo March 14,2020 Kibaha Mjini.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza Jambo kwa Viongozi wa Mkoa wa Pwani  kuhusu Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo Kibaha Mjini leo March 14,2020.kulia ni Rais Mstaafu awamu ya Nne Mhe. Jakaya Kikwete.
Katibu wa CCM Mkoa wa Pwani Ali Makoa akimuelezea  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuhusu litakavyokuwa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani litakapokamilika alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo leo March 14,2020 Kibaha Mjini.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Kikwete akizungumza kwenye Harambee ya Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani iliyoongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika Ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Kibaha Mjini 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi,  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mkoa wa Pwani  kwenye Harambee ya Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani iliyofanyika leo March 14,2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Kibaha Mjini. Jumla ya shilingi Milioni   zimechangishwa kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi huo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Maneno akimkabidhi Tuzo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa kutambua mchango wake mkubwa kwenye Harambee ya  Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega uchumi la CCM Mkoa wa Pwani 


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza Jambo kwa Viongozi wa Mkoa wa Pwani  kuhusu Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani alipotembelea kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo Kibaha Mjini leo March 14,2020.kulia ni Rais Mstaafu awamu ya Nne Mhe. Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.