Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akagua Kitalu cha Miche ya Mkonge Cha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Mlingano.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.  Kulia ni Mwenyekti wa CCM wa mkoa wa Tanga, Henry Shekifu, wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.   Wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikkagua miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.   Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa wa Tanga baada ya kuhitimisha ziara ya siku sita mkoani humo, Machi. 6, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.