Habari za Punde

Dkt. MabulaAwaka,WakurugenziHawafuatiliiWadaiwaSuguKodiyaPango la Ardhi.

Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akizungumza na Wakurugenzi pamoja na Wataalam wa Idara ya Ardhi wa Halmashauri sita za Mkoa wa Simiyu kuhusu ukusanyaji kodi ya Pango la Ardhi pamoja na utunzaji wa nyaraka za sekta ya Ardhi.
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula, Akikabidhi vitendea kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bariadi Mjini, Ndg.Melikzedek Humbe kwa niaba ya Halmashauri zote za Mkoa wa Simiyu mara baada ya kuzungumza na Wakurugenzi pamoja na Wataalam wa Idara ya Ardhi wa Halmashauri hizo kuhusu ukusanyaji kodi ya Pango la Ardhi pamoja utunzaji wa nyaraka za sekta ya Ardhi.
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula, Akikabidhi vitendea kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bariadi Mjini, Ndg.Melikzedek Humbe kwa niaba ya Halmashauri zote za Mkoa wa Simiyu mara baada ya kuzungumza na Wakurugenzi pamoja na Wataalam wa Idara ya Ardhi wa Halmashauri hizo kuhusu ukusanyaji kodi ya Pango la Ardhi pamoja utunzaji wa nyaraka za sekta ya Ardhi.
Mkuu wa Kitengo cha Kodi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ndg. Denis Masami, akifafanua hali ya makusanyo ya kodi ya pango la Ardhi kwa nchi nzima,  hadi sasa Serikali kupitia Wizara  Ardhi inaendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu ulipaji wa kodi hiyo.


MwandishiWetu- SIMIYU                                                                               
Naibu Waziri Wizaraya Ardhi, NyumbanaMaendeleoyaMakaziDkt AngelinaMabulaamesemaanasikitishwasananaWakurugenzikatikaHalmashaurizaMkoawaSimuyukutojishughulishahatakidogonaufuatiliajiwakodiyapango la Ardhi. Naibu Waziri aliyasemahayokatikaziarayakeMkoaniSimiyu, alipokutananawakurugenzipamojanamaafisambalimbaliwaSektaya Ardhi mkoanihumokwalengo la kugawavifaavyakusaidiaukusanyajikodiyapango la Ardhi, pamojanakukaguautunzajiwanyarakakatikamasjalaza Ardhi.
Katikaziarahiyo, Naibu Waziri DktMabulaalipatanafasiyakupokeataarifayahaliyamakusanyoyakodiyapango la Ardhi kutokakatikaWilayazotezaMkoawaSimiyunabaadaetaarifayajumlayamakusanyokutokakwaMkuuwaKitengo cha KodiWizaraya Ardhi ndugu Denis Masami kablahajagawavifaavyakusaidiakaziyaukusanyaji.
TaarifayajumlailiyowasilishwanaMkuuwaKitengo cha Kodi, ilioneshaMkoawaSimiyukuwanyumasanakatikamakusanyo. UkilinganishakiasikilichokusanywanaMkoanalengolililokusudiwakukusanywakwamwaka, badohatanusuyalengohaijafikiwanamudauliobakikumalizamwakawafedhanimiezimiwilituu.
MkuuwaKitengo cha KodikutokaWizaraya Ardhi alisema, kwakulionahilo la kuwanyumakimakusanyokamachangamoto, WizarailiamuakuzipatiaHalmashaurizotesitazaMkoawaSimiyuvifaakama vile Karatasina Wino ilikuongezakasikatikaufuatiliajiwakodiyaPango la Ardhi. Aliongezakwamba, WizaraimesaidiakupatikanahivyovifaaikiaminisasahatizamadaizitaandaliwanawadaiwawatapelekewailikodistahikiyaSerikaliikusanywe.
NaeNaibu Waziri DktMabulawakatianakabidhivifaahivyoalisema, hakunasababutenayaWakurugezikutokukusanyakodiyapango la Ardhi kwakuwavitendeakazivyamsingiwamepewanaSerikalikupitiaWizara. Aliongezakwamba, WakurengiwaonekaziyamakusanyoyakodiyaPango la Ardhi katikaumuhimu wake kwaniSektaya Ardhi inamchangomkubwasanakatikauchumiwanchinamaendeleoyanchikwaujumla.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.