Habari za Punde

Kamati ya Ulinzi na Usalama Yakabidhi Mchango Wao Kukabiliana na Maradhi ya Corona Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akikabidhia Mchango wa Fedha kutoka Kamati ya Ulinzi na Usalama Zanzibar kwa ajili ya kupambana na Ugonjwa wa Corona Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
(Picha na Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.