Habari za Punde

Rais Dkt Magufuli amuapisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa  . Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Prof. Mabula Daudi Mchembe mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto .Hafla iliyofanyika Wilayani Chato
Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.