Kwa wanafunzi ambao hawajapata Award Verification Number (AVN) Au Taarifa zao hazitambuliki NACTE ambao wamesoma au wamehitimu masomo kuanzia mwaka 2014/2015 - hadi sasa
Tafadhali Watume Taarifa Zao Zifuatazo
1. Form Four Index Number (All Sitting) ex. S0830/0001/2020
2. Programme ex. Electrical Engineering
3. Year Started ex. 2011/2012
4. KIST registration Number ex KIST/002222
Namna Ya Kutuma ((Onyo))Tumia njia moja tu )
1. Tuma kwenye E-Mail info@kist.ac.tz
2. Tumia online https://ksr.kist.ac.tz/admission/registration
Mwisho wa kupokea tarifa hizo ni tarehe 02/May/2020 saa 9:30 mchana
Tanbihi
Taasisi Ya Karume Ya Sayansi Na Teknolojia Haitopokea tena Malalamiko ya kilicho elezwa hapo juu Kwa wote watakaoshindwa kutuma Taarifa hizo
By Utawala
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Afisa Udahili
Ali M Suleiman
Phone: 0774579698
E-mail: info@kist.ac.tz
Whatsapp: 0774579698
No comments:
Post a Comment