Habari za Punde

Taasisi ya Rhythm Foundation yatoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima Mazizini

 NAIBU Waziri Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee Wanawake na Watoto, Shadia Mohamed, akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kutoka kwa Mwakilishi wa (RYTHM FOUNDATION), Mukrim Abdalla Jaffar, kwajili ya kuwapatia watoto yatima wanaoishi nyumba ya Mazizini.
 NAIBU Waziri Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee Wanawake na Watoto, Shadia Mohamed, akipokea masaada wa vyakula mbalimbali kutoka kwa Mwakilishi wa (RYTHM FOUNDATION), Mukrim Abdalla Jaffar, kwajili ya kuwapatia watoto yatima wanaoishi nyumba ya Mazizini.
 NAIBU Waziri Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee Wanawake na Watoto, Shadia Mohamed, akitoa  shukurani zake baada ya kupokea msada uliotolewa na taasisi ya (RYTHM FOUNDATION) hafala iliofanyika ofisi za nyumba ya kulelea watoto yatima Mazizini.


 MSAADA wa vyakula vilivyokabidhiwa kwa watoto yatima wanaoishi nyumba ya Mazizini (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.