Habari za Punde

Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Veterinari Tanzania


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
Telegram: “Mifugo”
Simu:       255 26 2322610
Nukushi:   255 262322613
Barua pepe :ps@mifugo.go.tz

                                                           
In reply please quart: 
Mji wa Serikali Mtumba,
Mtaa wa Ulinzi,
S.L.P.  2870,
DODOMA.

 
         

                       
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Dodoma, Juni 22, 2020

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Veterinari Na. 16 ya Mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Baraza la Veterinari Tanzania kama ifuatavyo: -
1.     Dkt. Bhakilana Augustine Mafwere           Mwakilishi Chama cha Wafanyabiashara wa Dawa
                                                                 za  Wanyama

2.     Prof. Amandus Pachifius Muhairwa          Mwakilishi, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo

3.     Dr. Henry Budodi Magwisha                     Mwakilishi, Chama cha Madaktari wa Mifugo (TVA)

4.     Mr.Aloyce Edward Mbunito                       Mwakilishi, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

5.     Dkt. Emmanuel Bihemo Sokombi             Mwakilishi, Madaktari wa Mifugo wa Sekta Binafsi
           
6.   Prof. Hezron Emmanuel Nonga                Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo, Wizara ya           Mifugo na Uvuvi.
                                                                       
7.   Dkt.Ramadhani Abdul Mwaiganju             Daktari wa Mifugo Mkoa, Ofisi ya Mkuu wa                Mkoa Ruvuma.

8.   Bi.Trasila Claudio Kipesha                        Mwakilishi, Chama cha Wataalam Wasaidizi wa        Mifugo (TAVEPA)

Uteuzi huu umeanza tarehe 21/6/2020 kwa kipindi cha miaka mitatu (3).
Aidha, Mwenyekiti wa sasa wa Baraza la Veterinari Tanzania, Prof. Rudovick Reuben Kazwala ataendelea na wadhifa huo hadi Mwezi Mei, 2021 kipindi chake cha miaka minne (4) kitakapomalizika.
Imetolewa na,
(LIMESAINIWA)
Rehema Mbulalina
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
22/6/2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.