Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa CCM Wamchagua Kwa Kura Nyingi Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Kupeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi Mkuu 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa kuufungua Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma jana 11/7/2020.
Viongozi Wastaaf wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli.(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi na Wageni Waalikwa wakifuatilia hitiba ya ufunguzi wa mkutano huo, wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani ) akihutubia mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiwasiulisha Ripoti ya Utekelezaji ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM Zanzibar, wakati wa mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwasiulisha Ripoti ya Utekelezaji ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM Tanzania Bara, wakati wa mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.