Habari za Punde

Muonekano wa Msikiti Mpya wa Masjid Tauhid Fuoni Jijini Zanzibar Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.

Muonekano wa Masjid Tauhid Fuoni baada ya kukamilika ujenzi wake na kufunguliwa  jana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi. hafla hiyo imefanyika katika Masijid hiyo huko Fuoni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.