Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto ) Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa mkutano katika jengo la White House Jijini Dodoma kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.   

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Whitev House Jijini Dodoma na (kulia kwac Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais)  Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally.
Watia nia ya Kugombea Urais wa Zanzibar katika Chama cha Mapinduzi  Walipita Tano Bora wakiwa katika ukumbi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) wa kwanza Mhe. Husseinn Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, Mhe.Dkt.Khalid Salum Ali,Prof.Makame Mbarawa na Mhe. Khamis Mussa Omar. 
Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika Kikao cha Halmashaurin Kuu ya CCM Taifa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo wakati wa hafla hiyo ya kumpata Mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2020. 
Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 10/7/2020. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.