Habari za Punde

UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WADADISI YS SENSA YA KILIMO NA MIFUGO 19/2020 WAFANYIKA ZANZIBAR.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Mayasa Mahfudha akitoa maelezo kuhusu Sensa ya kilimo na Mifugo 19/2020 iliofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar.
Mgeni Rasmi Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt,Makame Ali Ussi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mafunzo kwa Wadadisi ya Sensa ya Kilimo na Mifugo 19/2020 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar.
Miongoni mwa washiriki na wageni Waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mafunzo kwa Wadadisi ya Sensa ya Kilimo na Mifugo 19/2020 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar.
Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt,Makame Ali Ussi (mwenye suti nyeusi)akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na washiriki wa Mafunzo kwa Wadadisi ya Sensa ya Kilimo na Mifugo19/2020 Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.