Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amtembelea Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mstaaf Mhe. Pinda.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Albetina Kasanga ambaye ni Mama  Mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mizengo Pinda  wakati alipomtembelea. Bibi huyo nyumbani kwake katika kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi, Julai 5, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.