Habari za Punde

Zantel Yazindua Ofa ya Bando Halikati Kwa Wateja Wao

Mkuu wa Zanztel Zanzibar Ndg. Mohammed Khamis Mussa Baucha akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar (hawapo pichani) wakati wa hafla ya  Uzinduzi wa Ofa ya Bango Halikati iliyofanyika katika Duka la Zantel Vuga Jijini Zanzibar na (kushoto) Mkuu wa Bidhaa na Huduma Zanztel Bi.,Aneth Jamilla Muga.
Mkuu wa Bidhaa na Huduma Zantel Bi. Aneth Jamilla Muga akizungumza na kuzindua Ofa ya Bando la Halikati kwa Wateja wa Zantel Tanzania, hafla hiyto imefanyika katika Duka la Zatel Vuga Jijini Zanzibar na (kulia) Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg.Mohammed Khamis Mussa Baucha.
Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg.Mohammed Khamis Mussa Baucha akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Bando la Halikati wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliofanyika katika Duka la Zantel Vuga Jijini Zanzibar na (kushoto) Mkuu wa Bidhaa na Huduma Zantel Bi. Aneth Jamilla Muga na (kulia) Maneger Chapa Zantel Zanzibar Bi. Rukia Iddi Mtigwa.
Waandishi wa habari wakifuatilia na kuuliza maswali wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Ofa ya Bando Halikati iliofanyika katika Duka la Zantel Vuga Jijini Zanzibar. 

Waandishi wa habari wakifuatilia na kuuliza maswali wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Ofa ya Bando Halikati iliofanyika katika Duka la Zantel Vuga Jijini Zanzibar. 
Mkuu wa Bidhaa na Huduma Zantel Bi. Aneth Jamilla Muga akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Bando Halikati  iliofanyika Jijini Zanzibar katika Duka la Zantel Vuga leo.
Manager Cha;pa Zantel Zanzibar Bi. Rukia Mtigwa akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bando Halikati uliofanyika katika Duka la Zantel Vuga Jijini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.