Habari za Punde

Balozi Ramia aendelea na ziara kisiwani Pemba akagua maendeleo ya ujenzi wa Hoteli ya kitalii kisiwa cha Uvinje

 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati), akiwa katika fiber maalumu kwa ajili ya kuelekea katika kisiwa cha Uvinje kilichopo nje kidogo ya Wilaya ya Wete, kwa ajili ya kukagua ujenzi wa Hoteli ya Oxygen Holding Co.Ltd, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Wete Kepteni Mohamed Mussa Seif.(PICHA NA  ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa, akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Wete Kepteni Mohamed Mussa Seif mara baada ya kuwasili katika kisiwa cha Uvinje nje kidogo ya Mji wa Wete kwa ajili ya kukagua mradi wahoteli iliyoko katika kisiwa hicho.(PICHA NA  ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Omar Khamis Othaman, akitoa maelezo kwa waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa, juu ya maendeleo ya ujenzi wa hoteli ya kitalii katika kisiwa cha Uvinje Wilaya ya Wete .(PICHA NA  ABDI SULEIMAN, PEMBA)


.WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohmed Ramia Abdiwawa, akikagua ujenzi wa hoteli ya  Oxygen Holding Co.Ltd, unavopendelea katika kisiwa cha Uvinje unavyoendelea, wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo Pemba .(PICHA NA  ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.