Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango atembelea hoteli ya Fundu lagoon, Wambaa kisiwani Pemba
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati), akikagua hoteli ya Fundu Lagoon iliyoko katika kijiji Kwaazani Wambaa Wilaya ya Mkoani, ambayo kwa sasa imesimamisha shuhuli zake kutokana na ugonjwa wa Coriona Duniani (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa, akiwa na watendaji kutoka ZIPA na Wizara yake Pemba, wakimsikiliza kwa makini Meneja wa Hoteli ya Fundu Lagoon Ramon Ribes, wakati alipotembelea hoteli hiyo huko Wambaa (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.