Habari za Punde

Maonyesho ya Kilimo ya nanenane Chamanangwe kisiwani Pemba

 SUALA la Michezo kwa watoto katika eneo la Chamanangwe nao hawakuachwa nyuma, pichani watoto hao wakiruka katika moja ya mapembea yaliyomo katika eneo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

WANANCHI mbali mbali wakipata maelezo ya kilimo hai, kutoka kwa Sabahia Subeti Ali wakati walipotembelea banda la maonyesho la Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation huko katika eneo la Chamanangwe Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 WAFANYAKAZI kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, wakitoa vipeperushi kwa wanafunzi mbali mbali waliotembelea banda la maonyesho la Wizara hiyo huko katika eneo la Chamanangwe Wete wakati wa maadhimisho ya siku ya Wakulima Naneane.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


WANANCHI Mbali mbali wanaotembelea maonyesho ya Wakulima Nanenane huko Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete, wakipatiwa elimu ya kilimo hai kutoka kwa mmoja ya wataalamu wakilimo hicho, wakati alipotembelea eneo la banda la Milele Zanzibar Foundation (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.