Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Swaleh Omar Kabi akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali kuhusiana na uwepo wa Janga la Korona na Umuhimu wa Kunawa mikono hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria katika Mafunzo kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali kuhusiana na uwepo wa Janga la Korona na Umuhimu wa Kunawa mikono hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
Mkuu wa kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Halima Ali Khamis akitoa mafunzo kuhusiana na Umuhimu wa kunawa Mikono katika mafunzo ya uwepo wa Janga la Korona yaliojumuisha Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
Mkufunzi kutoka Wizara ya Afya Issa Abeid Mussa akitoa mafunzo kuhusiana na Uwepo wa Janga la Korona katika mafunzo kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
Katibu wa Mufti zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akitoa hotuba ya ufungaji wa mafunzo kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali kuhusiana na uwepo wa Janga la Korona na Umuhimu wa Kunawa mikono hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment