Habari za Punde

WAKULIMA WANUFAIKA NA MUUNGANO WA TANZANIA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ( Bara) Bw.Gerald Kusaya akisalimiana na mwenyeji wake Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Zanzibar) Bi.Maryam Abdulla mara baada ya kuwasili uwanja wa Ndege Pemba jana kwa ziara ya kikazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Bara) Bw.Gerald Kusaya wa kwanza mbele akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Zanzibar) Bi.Maryam Abdulla wakitoka kukagua bonde la umwagiliaji mpunga la Kwalempona wilaya ya Wete Pemba jana.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akitembelea kukagua skimu ya umwagiliaji zao la mpunga ya Kwalempona wilaya ya Wete Pemba hapo jana.Kukamilika kwa skimu hiyo chini ya mradi wa ERPP umesaidia wakulima zaidi ya 120 wengi wao akina mama kuzalisha mpunga na kuwa na uhakika wa kipato.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akikagua skimu ya umwagiliaji mpunga ya Ole Dodea Chake Chake inayotumia mabomba alipotembelea Pemba jana.Mradi huo unatekelezwa kupitia mradi wa ERPP na umegharimu shilingi Bilioni 1.7 
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiongea na wakulima wa skimu ya umwagiliaji zao la mpunga Kwalempona wilaya ya Wete Pemba jana alipokagua kukamika kwa miundombinu yake. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Wete Mhe.Kombo Asa Juma aliyeshiriki ziara hiyo.WAKULIMA KUENDELEA KUNUFAIKA NA MUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR- KUSAYA
Wakulimawa Pemba wameanzakunufaika na miradi ya kilimoinayotekelezwa kwa pamoja na serikali ya Muunganona ile ya Mapinduzi ya Zanzibar ya uendelezajizao la mpunga (ERPP) na mradi wa KudhibitiSumukuvunchini (TANIPAC).
Mradi wa KuimarishaUzalishajiMpunganchini (ERPP) umetumiashilingiBilionimbilikujenga na kukarabatimiundombinu ya skimuzaumwagiliajiupande wa Pemba kwa kipindi cha miakamitanoiliyopita.
Akizungumzawakatiakitembeleamiradi ya umwagiliaji ya Ole DodeaChakeChake na KwalemponaWete Pemba jana (20.08.2020) KatibuMkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusayaalisemamiradihiyoinathibitishauimara wa Muunganouliopo .
“ Nimetembelea na ninawapongezawenzetu wa Zanzibar kwakazikubwa ya utekelezaji wa miradihii ya umwagiliajikwaniwakulimawameoneshamafanikio ya kuongezatija ya uzalishajizao la mpunga  na piathamani ya fedhainaonekana” alisemaKusaya.
Kusayaaliwaelezawakulimawa Pemba kuwamiradihiyo ya umwagiliajinizawaditoka kwa maraiswetuambapoamewasihikuitunza na kuifanyaiweendelevu kwa manufaa ya vizazivijavyo.
Skimu ya Umwagiliaji ya Ole DodeaChakechakeinaukubwa wa hekta 10 maalum kwa uzalishajimbegu bora zampunga na tayariwakulima 62 wameanzakunufaikakulimahukuikigharimushilingiBilioni 1.7 kukamilikawakatiskimu ya Kwalemponawilaya ya Weteinaeneo la hekta 13 na wakulima 120 wengiwaoakina mama wanalimampunga na imetumiashilingiMilioni 753 kukamilika.
KatibuMkuuKusayaakizungumza na wakulimahaoalisemanilengo la serikalikuonawakulimawakilimaeneodogolakiniwavunezaidi na kupatafaidakupitiakukamilika kwa skimuhizozaumwagiliaji .
“ Wakulimatunzenimiradihii na fikirienikuanzakuchangiafedhakidogoilimradiuweendelevuikitokeamiundombinuimeharibikabasiiwerahisikutumiafedhazenukuikarabati na kupunguzautegemezi wa serikali” Kusayaaliwasihiwakulima wa Wete.
KatikahatuanyingineKusayaalitoawitokwawakulimanchinikotekuwafundisha na kuwazoeshawatotowaoiliwashirikikazi ya uzalishajimashambani na kuwa na uhakika wa kipatokufuatiataarifa ya mradi wa Kwalemponakuoneshaidadikubwa ya akinamamandiowanalimakwenyebondehilopekee.

Akizungumza kwa niaba ya wakulima wa KwalemponaWeteMwenyekiti wa Jumuiya ya WakulimaShaibu Ali alisema hapo mwanzowalipataugumu wa kulimampungakwenyebondehilokutokana na mitarokuwa ya udongohivyomajimengiyalipotealakinisasaskimuimeboreshwa .
Mkulimahuyoaliongezakusemamradiwa ERPP umesaidiawakulimakuwa na uhakika wa kulimampungamarambili kwa mwaka na kuongezamavunotokawastani wa tani 2 kwa hektahaditani 5 na matumizi ya mbegu bora zampunga.
NayeJumaShamaniJumamkulima wa Wetealisema “ nilizoeakupandampungaaina ya Linga na kuvunaporo 36 ( robaza kilo mia ) katikaplotiyangulakinisasahivitumetumiambegu bora na mavunoyameongezekahadiwastani wa poro 50 ( sawa na nusutani) kwa robohekta” alisema.
Kwa upande wake KatibuMkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar Maryam Abdulla serikalikupitiamradi wa ERPP inahamasishawakulimakutumiambegu bora zampungailiwapatemavunomengitoauti na mbeguzaasiliaina ya linga.
KatibuMkuuhuyoalishukuruserikali ya Muungano wa Tanzania kupitiawizara ya Kilimo kuwa na miradi ya ushirikiano na Zanzibar kwaniinaendelezaudugu na kuelezakuwawakulimawataendeleakufundishwakanuni bora zakilimoiliwaongezeuzalishajimpunga na mazaomengineilikuwa na uhakika wa ajira na kipato.
“ RaisDkt.Ali  Mohamed Sheinameagizawizara ya Kilimo Zanzibar kutumawataalamkwenda Bara kwa ajili ya kujifunzanamna ya kufufuazao la koroshoiliwakulima wa visiwanihumowawe na zaojingine la biashara na kukuzauchumiwao” alisema Maryam
Mradi wa KuimarishaUzalishajiMpunga (ERPP) ulianzakutekelezwamwaka 2015 kwa gharama ya dolazakimarekanimilioni 22.9  na utafikiamwishomwaka 2021 ambapo kwa upande wa baraunatekelezwa kwa kujengaskimu 5 ,maghala 5 yamekamilika  na ujenzi wa maabaramoja ya kilimo mkoani Morogoro na kwa upande wa Zanzibar jumla ya skimu 9 zimejengwa .
KatibuMkuuKusayaamekamilishaziarayake ya sikumbili ya kutembeleamiradi ya KudhibitiSumukuvunaile ya UimarishajiUzalishajiMpunga (ERPP) kwa upande wa Zanzibar na Pemba hapo jana.
Mwisho.
ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini,
Wizara ya Kilimo
ZANZIBAR.
20.08.2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.