Habari za Punde

Wagombea Ubunge Jimbo la Chumbuni na Amani Zanzibar Wachukua Fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

Afisa wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC) Bi. Rukia Mkali akimkabidhi Fomu ya Ubunge Jimbo la Chumbuni Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ndg.Ussi Salum Pondeza (Amjad) alipofika Ofisi za Tume leo kwa ajili ya uchukuaji wa fomu kuwania Ubunge.
Afisa wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC) Ndg. Ali Idarusi akimkabidhi Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Amani kwa Chama Cha Mapinduzi Mhe. Mussa Hassan, alipofika Afisi za Tume kuchukuwa fomu leo.
 (PICHA NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.