Habari za Punde

Maji ni Uhaii Kwa Kila Kitu Duniani

Maji ni muhimu kwa kila kitu kwa matumizi yake Binadamu, Mimea na Wanyama wanahitaji maji .Kama anavyoonekana pichani Kuku huyu akijipatia maji kupitia katika  bomba la kutolea maji nje katika moja ya nyumba eneo la tunguu Zanzibar Mkoa wa Kusini Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.