Habari za Punde

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. Magufuli azungumza na Wananchi wa Manyoni mkoani Singida

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni katika Kampeni za Urais wakati akiwa njiani kuelekea Singida mjini leo 1 Septemba, 2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.