Habari za Punde

Wagombea Uwakilishi Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Pemba Wachukua Fomu Ofisi za Tume ZEC Pemba.

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi CCM na wagombea Uwakilishi wa majimbo matano ya Wilaya ya Chake Chake, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa fomu za kuwania nafasi hizo, huko katika ofisi za ZEC Wlaya ya Chake Chake.
KADA wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Uwakilishi jimbo la Chonga Suleiman Masoud Makame, akikabidhiwa fomu kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Chonga, hafla iliyofanyika ofisi za ZEC Wlaya ya Chake Chake
KADA wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Uwakilishi jimbo la Ziwani Suleiman Makame Ali, akikabidhiwa fomu kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Ziwani, hafla iliyofanyika ofisi za ZEC Wlaya ya Chake Chake
KADA wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Uwakilishi jimbo la Ole Massoud Ali Mohammed, akikabidhiwa fomu kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Ole, hafla iliyofanyika ofisi za ZEC Wlaya ya Chake Chake.
KADA wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Uwakilishi jimbo la Wawi Bakari Hamad Bakari, akikabidhiwa fomu kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Wawi, hafla iliyofanyika ofisi za ZEC Wlaya ya Chake Chake Pemba 
Picha na Abdi Suleiman  -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.