Habari za Punde

Jengi Jipya la Skuli ya Kisasa ya Dkt.John Pombe Magufuli Sekondari Skuli Zanzibar liliopo Katika Eneo la Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.

Muonekano wa Jengo Jiplya la Skuli ya Seondari ya Dkt. John Pombe Magufuli Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar  ambayo imefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa na madarasa 24 na vyumba vya maabara ya Baioloji, Kemisri na Fizikia.  
Wanafunzi wa Kidatu cha Tano wa Skuli ya Sekondari ya Dkt.John Pombe Magufuli wakiwa katika chumba cha maabara ya Biolojia wakifanya kazi ya uchunguzi kwac vitendo kana wanavhoonekana pichani. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.