Muonekano wa moja ya majengo Matano ya Ghorofa ya Mradi wa Mj Mpya wa Kahani Jijini Zanzibar yakiwa na jumla ya nyumba 71 yamefunguliwa leo 12/10/2020 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. na kuwakabidhi baadhi ya Wananchi Watatu funguo za Nyumba zao wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo la byumba hizo kwahani.
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
56 minutes ago
Asalmm alaikumm mim naomba no ya office zao hizi nyumba na piya je zinakodishuwa hizi nymba naomb jibu tafadhal
ReplyDelete