Jengo la Hospitali ya Uhuru inayojengwa na Serikali katika wilaya Chamwino, Dodoma ambako Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua maendeleo ya ujenzi wake, Novemba 20, 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Uhuru wilayani Chamwino,Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa Mkoa wa Dodoma baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Uhuru wilayani Chamwino
No comments:
Post a Comment