Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi aelekea Dodoma kuhudhuria ghafla ya kuapishwa Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Wazee wa CCM Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Jijini Dodoma kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa leo katika viwanja vya Chamwino.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakati akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Jijini Dodoma kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, hafla hiyo inayofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.