RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha
Mawaziri aliowachagua hivi katika, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 21/11/2020 na kutowqa nasaha zake kwa
Viongozi aliowaapisha
WAKUU
wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Mawaziri katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Viongozi wa Dini mbalimbali Jijini Zanzibar wakihudhuria katika hafla ya kuapishwa
Mawaziri iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar, wakifuatlia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihitibia baada ya kumaliza kuwaapisha Mawaziri.
WAHESHIMIWA
Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Mawaziri katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwake)Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi
Ali Maulid Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar Khalfan na Wageni
waalikwa katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri , wakifuatilia hutuba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI
ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya
kumaliza kuwaapisha Mawaziri aliowateua hivi karibuni hafla hiyo imefanyika
katika viwanja vya Ikulu
No comments:
Post a Comment